RASMI: RAIS JACOB ZUMA WA AFRIKA KUSINI AMETANGAZA KUJIUZULU - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 15, 2018

RASMI: RAIS JACOB ZUMA WA AFRIKA KUSINI AMETANGAZA KUJIUZULU


Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya Urais kwa manufaa ya Chama chake cha ANC na Wananchi wa Afrika Kusini.

Zuma ametangaza hadharani kujiuzulu kupitia vyombo mbalimbali vya habari katika matangazo yaliyokuwa yanarushwa LIVE. Uamuzi wa Zuma umekuja kutokana na msukumo uliokuwa unatolewa na Chama chake pamoja Bunge la nchi hiyo.


Kwa maoni na ushauri tuandikie kupitia mukamafunnyblog95@gmail.com au tuma ujumbe mfupi kwenda namba +255 (0) 768548171. Mukamafunny Blog>>"Habari na Burudani''

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages