UBUYU LIVE: ZARI AACHANA NA DIAMOND KWEUPEEEEE.....ATANGAZA UAMUZI HUO VALENTINE DAY - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 15, 2018

UBUYU LIVE: ZARI AACHANA NA DIAMOND KWEUPEEEEE.....ATANGAZA UAMUZI HUO VALENTINE DAY


Zarinah Hassan(Zari) ametangaza kuvunja rasmi mahusiano yake ya kimapenzi na Staa wa Bongo Fleva nchini humo, Nasibu Abdul(Diamond Platnumz)

Kwa kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa kijamii wa Instagaram, Zari amesema kilichompelekea kufanya hivyo ni kutokana na Diamond kutokuwa mwaminifu kwenye mahusiano

Zari na Diamond katika kipindi chao cha mahusiano kilichodaiwa kuanza Novemba 2014 wameweza kupata watoto wawili, wa kike anaitwa Tiffah na wa kiume anaitwa Nillan.


Kwa maoni na ushauri tuandikie kupitia mukamafunnyblog95@gmail.com au tuma ujumbe mfupi kwenda namba +255 (0) 768548171. Mukamafunny Blog>>"Habari na Burudani''

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages