BREAKING NEWS: MPIGA PICHA KIFESI ATANGAZA KUACHA KAZI KWA DIAMOND PLATINUMZ...MWENYEWE ANADAI HANA UGOMVI NA WCB, STORI KAMILI IKO HAPA - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 31, 2018

BREAKING NEWS: MPIGA PICHA KIFESI ATANGAZA KUACHA KAZI KWA DIAMOND PLATINUMZ...MWENYEWE ANADAI HANA UGOMVI NA WCB, STORI KAMILI IKO HAPA



Mambo ni motoooo!! Mpiga picha maarufu hapa bongo Andrew Kisula a.k a Kifesi hii leo ametangaza kuacha kazi kama mpiga picha wa Diamond Platinumz. Kifesi amechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Chibu kuachana na Zari theboss Lady.

Akiongea na #mukamafunny blog kwa njia ya simu Kifesi amedai kwamba sababu alizoziandika katika ukurasa wake wa Instagram ndo hizo hizo na hana zaidi ya hapo na akadai kwamba hajaachana na Diamond kwa ugomvi bali ni kwa nia njema.

Alipoulizwa kama kitendo cha Mondi kutemana na Zari kimechangia yeye kuacha kupiga picha kwa Simba wa Tandale, Kifesi amejibu kwamba hamna kitu kama hicho.

Ikumbukwe kwamba kipindi Diamond ametengana na Zari kwa mara ya kwanza, Kifesi alitumia muda wake mwingi kumsihi Diamond arejeshe amani katika familia yake hiyo sasa mara hii ya pili ndo ameonekana kuwa kimya katika hilo na hii leo amechukua uamuzi wa namna hiyo.

Aidha Kifesi amedai kwamba ameacha kufanya kazi na Diamond ili aweze kumrudia Mungu ikiwa ni pamoja na kujiajiri mwenyewe katika miradi yake.
Leo ikiwa ni siku takatifu na siku ya ibada kwangu ni siku niloamua kufnyamaamzi yatagobadili maisha yanguNimeamua rasmi kuacha kazi kama. Mpiga picha wa diamond na mwajiriwa wa wcb.. Well It’s insane to be leaving a stable job u love But that’s reality for me naacha kaz kwa mtu alokua zaid ya Rafiki kwangu naacha kaz ambayo ni ndoto ya Vijana wengi out there but to me..i see miaka yngu 4/5 ya kufanya kaz hapa inatosha niachie nafasi kwa vijana wengine nimeamua kufata moyo wangu . . ni uamzi nilokua nao karibu mwaka sasa but kama ilivo kwa waajiriwa wengi is so hard kufnya maamzi ya kuacha kazi but IN ORDER TO GROW WE NEED TO MAKE CHANGE.. Naacha kazi to persue my Dreams life ikiwamo Kujiajiri mwenyewe. Naacha kazi ili nipate muda mwingi wa kuwa flexible nitumie muda wangu mwingi ku-unleash my potential for excellence.  reason ya mwisho na kubwa zaid kwangu.. Naacha hii kaz ili niwe karibu zaid na Mungu wangu kwa iman yngu kama. Mkristo nilkua nafnya kaz Katika lifestyle na mazingira ya kazi yasompendeza Mungu . . ni swala ambalo limenikosesha aman kwa miaka yote but at the end we need to choose GOD over everything.. Cfa. Umaarufu na fahari yote ya Dunia vitanifaidia nn endapo nitaukosa ufalme wa Mungu...?? Nimeamaua ku drop kila kitu i just want to have peace of mind .. do my works .. live my life and hav time with God... Ukimchagua Mungu hata hiv vingine atakuongezea najua kutakua na changamoto nyingi.. Up and downs but Mungu He knew me b4 a was born aliahid ukimchagua yeye he will open the doors atatufnya kuwa Kichwa na cyo mkia.. Mwisho nashukuru familia yote ya wcb  kwa kua nami for all these yrs was great working with u.. but zaid nimshukuru Diamond kwa mda wote nlofnya nae kaz since chini mpka sasa.. Nimefnya kazi kwa mapenz.. bidii na uaminifu mkubwa Kwangu haukua boss bali rafik n nilkua rafik wa kweli kwako a will always appreciate mchango wako kwangu.. Tusameheane pale tulipowai koseana we are just humans ..hatutakua pamoja kikaz but  Nina iman tutaendelea kua marafiki. God bless u.. Uzid kufika unapopenda kufika.. GOD Bless me.. God bless my next Hustles #happysabbath Day
A post shared by PHOTOGRAPHER (@kifesi) on

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages