HUYU NI NAIBU WAZIRI KATIKA SERIKALI YA AWAMU YA TANO NA LEO HII ANASHEREHEKEA KUZALIWA KWAKE, MJUE ZAIDI HAPA CHINI - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 31, 2018

HUYU NI NAIBU WAZIRI KATIKA SERIKALI YA AWAMU YA TANO NA LEO HII ANASHEREHEKEA KUZALIWA KWAKE, MJUE ZAIDI HAPA CHINI

Anaitwa Dr.Faustine Engelbert Ndugulile ambaye leo hii ametimiza mika 49 ya kuzaliwa kwake. Dr. Ndugulile ni mbunge wa Jimbo la Kigamboni na alizaliwa tarehe 31 March 1969, ni naibu waziri wa Afya katika serikali ya awamu ya tano.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram mh. Ndugulile amemshukuru mwenyezi Mungu kwa neema na baraka zake.

''Leo tarehe 31.03 ninaadhimisha siku yangu ya kuzaliwa. Ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema na baraka zake. -
I am celebrating my birthday today. I am thankful to the Almighty for all blessings bestowed upon me. -

#Aries

#31stmarch
#31stMarchBirthday
#Ndugulile''

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages