ALIYEWAHI KUWA MKUU WA MKOA WA DSM ABBAS KANDORO AFARIKI DUNIA - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 28, 2018

ALIYEWAHI KUWA MKUU WA MKOA WA DSM ABBAS KANDORO AFARIKI DUNIA


Mkuu wa mkoa mstaafu Mzee Abbas Kandoro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar alikolazwa kwa matibabu.

Kabla ya kifo chake aliwahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Arusha, Singida na Mbeya na mikoa mingine.

Siku mbili zilizopita Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alimtembelea na kumpa pole Mkuu huyo wa Mkoa Mstaafu, Abbas Kandoro ambapo awali alikuwa amelazwa katika hospitali ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma kabla ya kuhamishiwa Muhimbili Dar ambapo umauti ndipo ulipomkuta.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages