GIGY MONEY AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE....AMPA JINA ''MAYRA'' - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 28, 2018

GIGY MONEY AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE....AMPA JINA ''MAYRA''


Msanii wa muziki wa bongo fleva nchini Gift Stanford maarufu kama Gigy Money,amefanikiwa kujifungua salama mtoto wa kike na kumpatia jina la Myra.

Gigy Money anatoka kimapenzi na mtangazaji wa Choice FM, Mo J ambaye pia ni baba mzazi wa mtoto huyo aliyezaliwa jana.

Gigy na Mo J kabla ya kuzaliwa kwa mtoto huyo walikuwa wakijiita Baba Candy na Mama Candy ila mara baada ya kuzaliwa kwa mtoto huyo wamesema hawatatumia tena jina hilo na tayari wamempa mtoto wao jina la Myra.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages