BAD NEWS :AJALI MBAYA YATOKEA TABORA, BASI LA CITY BOY LAGONGANA NA FUSO NA KUUA MAKUMI YA WATU - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 5, 2018

BAD NEWS :AJALI MBAYA YATOKEA TABORA, BASI LA CITY BOY LAGONGANA NA FUSO NA KUUA MAKUMI YA WATU


Taarifa zilizotufikia usiku huu zinaeleza kuwa kuna ajali mbaya sana ya basi la City Boy linalofanya safari zake kati ya Dar na Karagwe Kagera limegongana na Fuso huko Igunga mkoani Tabora

Taarifa zaidi zinasema ajali hiyo imesababisha vifo kadhaa (takribani watu 30 wanaarifiwa kupoteza maisha)

Tunaendelea kufuatilia kwa kina ajali hii na tutawajuza zaidi..

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages