PICHA: RAIS MAGUFULI ALIPOWASILI KATIKA MSIBA WA MAMA MZAZI RC GAMBO MAPEMA LEO - MUKAMAFUNNY BLOG

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 18, 2018

demo-image

PICHA: RAIS MAGUFULI ALIPOWASILI KATIKA MSIBA WA MAMA MZAZI RC GAMBO MAPEMA LEO


1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo April 18, 2018 amewasili mtaa wa Muheza Kariakoo jijini Dar es salaam kwa ajili kutoa pole kwa familia ya Mzee Mashaka Gambo kwa kufiwa na mkewe ambaye pia ni mama mzazi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kwa kufiwa na mama yake mzazi Marehemu Rehema Paul Mumbuli. 

2
3
6
7
10
8
9
11
12
13
4
5

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages