VIDEO: AFISA UTAWALA CHUO KIKUU MAKERERE AFUKUZWA KAZI BAADA YA PICHA YAKE KUSAMBAA MITANDAONI AKIMNYONYA MWANAFUNZI SEHEMU ZA SIRI....RAIS MUSEVENI ALISHATOA ONYO KUHUSU MAPENZI YA MDOMO - MUKAMAFUNNY BLOG

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 18, 2018

demo-image

VIDEO: AFISA UTAWALA CHUO KIKUU MAKERERE AFUKUZWA KAZI BAADA YA PICHA YAKE KUSAMBAA MITANDAONI AKIMNYONYA MWANAFUNZI SEHEMU ZA SIRI....RAIS MUSEVENI ALISHATOA ONYO KUHUSU MAPENZI YA MDOMO


3

UGANDA: Afisa Utawala Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Makerere, Bwana Kisuze Edward asimamishwa kazi baada ya picha yake akimnyonya mwanafunzi Racheal Njorogi sehemu za siri kusambaa mitandaoni

Racheal anadai aliwasili chuoni hapo kufuatilia taarifa zake za usajili ambapo alikutana na usumbufu mkubwa na baadaye alipopata nafasi ya kuingia ofisini kwa Msajili, alishangaa ghafla Afisa huyo akimvamia na kuanza kumnyonya matiti kisha sehemu zake za siri na alishindwa kumdhibiti kutokana na kumzidi nguvu

Kwa mujibu wa maelezo ya Racheal, anasema alilazimika kupiga picha (selfie) wakati tukio hilo likiendelea ili picha hiyo itumike kama ushahidi pindi atakapoenda kuripoti polisi

Tukio hilo limejiri ikiwa ni siku chache baada ya Rais Yoweri Kaguta Museveni kukemea vitendo vya ngono kwa njia ya mdomo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages